Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, mamia ya waumini wa Ahlul-Bayt (as), wakiwemo wanawake, wanaume na vijana kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Morogoro, walishiriki katika shughuli hizo za Ashura zilizojumuisha majlisi za maombolezo, matembezi ya amani na usomaji wa marsiya. Washiriki walionesha kuendelea kuhuisha ujumbe wa Imam Hussein (as) wa kusimama kidete dhidi ya dhuluma, kutetea haki na kuimarisha umoja na mshikamano miongoni mwa Waislamu na jamii kwa ujumla.
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |












Maoni yako